March 22, 2023

Day

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Prof. Raphael Chibunda amemteua Dkt. Felix Nandonde kuwa Mkuu wa Idara ya Uhasibu na Fedha katika Ndaki ya Uchumi na Stadi za Biashara kwa kipindi cha miaka Mitatu. Uteuzi huo ni kuanzia tarehe 13 Februari, 2023. Tunamtakia kila la heri katika utekelezaji wa majukumu yake. Tuungane...
Read More