FUATILIA MJADALA ULIORUSHWA KATIKA KIPINDI CHA MIZANI TBC USEMAO SEKTA YA KILIMO KWA MAENDELEO YA TAIFA

Karibu ufuatilie mjadala uliorushwa mbashara tarehe 10/2/2021   kupitia televisheni ya Taifa (TBC) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof.Raphael Chibunda pamoja na Amidi wa Shule kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara Dr. Philip Damas katika mada isemayo “Sekta ya Kilimo kwa Maendeleo ya Taifa “. Mwendesha kipindi ni alikua ni Dkt.Ayub Rioba Chacha ambae ni Mkurugenzi wa shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

tafadhali bofya hapa kusikiliza https://www.youtube.com/watch?v=J9e_hFoNano

Related Posts

slot danahttps://cefta.int/