MBASHARA –TBC KUTOKA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO

VC TBC LIVE

Karibu katika kipindi kitakachorushwa hewani leo tarehe 10/2/2021 saa tatu usiku  kupitia televisheni ya Taifa (TBC) tuwasikilize Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof.Raphael Chibunda pamoja na Amidi wa Shule kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara Dr. Philip Damas katika mada isemayo “Sekta ya Kilimo kwa Maendeleo ya Taifa “. Mwendesha kipindi ni Dkt.Ayub Rioba Chacha ambae ni Mkurugenzi wa shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

VC TBC LIVE

Related Posts

slot danahttps://cefta.int/