MKUTANO WA BARAZA DOGO LA WAFANYAKAZI

 

Mkutano huu ulifanyika katika Ndaki ya Uchumi na stadi za Biashara ukiongozwa na mwenyekiti ambaye ni Rasi wa Ndaki ya Uchumi na stadi za Biashara  Dr. Phillip Damas pamoja na  katibu Dr Hokororo Silver ambaye ni mkuu wa Idara ya usimamizi wa fedha, wajumbe wamkutano walikua ni watumishisi wote wa Ndaki ya Uchumi na Stadi za Biashara.

Mada mbalimbali zilijadiliwa katika kufanikisha maendeleo ya ndaki ya Uchumi na stadi za Biashara

 

  Wafanyakazi kutoka Ndaki ya Uchumi na Stadi za Biashara

 

 

Related Posts

slot danahttps://cefta.int/