May 25, 2022

Day

  Mkutano huu ulifanyika katika Ndaki ya Uchumi na stadi za Biashara ukiongozwa na mwenyekiti ambaye ni Rasi wa Ndaki ya Uchumi na stadi za Biashara  Dr. Phillip Damas pamoja na  katibu Dr Hokororo Silver ambaye ni mkuu wa Idara ya usimamizi wa fedha, wajumbe wamkutano walikua ni watumishisi wote wa Ndaki ya Uchumi na...
Read More