May 26, 2023

Day

Wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wanaochukua kozi ya Uwekezaji katika Kilimo na Benki inayotolewa na Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) chini ya ndaki ya uchumi na stadi za biashara (CoEBS) katika idara ya usimamizi wa biashara (DBM) wamepata wasaa wa kushiriki maonesho haya ya kumbukizi ya hayati Edward Moringe Sokoine....
Read More